AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Shirikisho la Soka Nchini Ureno linapanga kuwasilisha ushahidi unaoonesha kuwa Cristiano Ronaldo aliugusa mpira wa krosi wa Bruno Fernandes uliozaa bao la uongozi katika ushindi wa 2-0 katika mchezo wa duru ya pili ya hatua ya makundi dhidi ya Uruguay.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK