TRA yaondoa kitengo cha kukusanya kodi kwa mabavu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



MWENYEKITI wa Bodi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Uledi Mussa, amesema kitengo cha kikosi kazi ‘task force’ kilichokuwepo hapo nyuma kimeondolewa hivyo kwasasa watakusanya kodi kutoka kwa wafanyabiashara bila kutumia mabavu.

MWENYEKITI wa Bodi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Uledi Mussa.
Amesema hay oleo Novemba 15, 2022 katika kikao kilichofanyika baina ya TRA na Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) jijini Dar es Salaam.

“Kwasasa tunakusanya mapato bila mabavu, waachane kabisa na matumizi ya mabavu, tunataka walipakodi wajisikie vizuri kabisa, hatuna tena task force” amesema Mwenyekiti huyo.

Aidha, amesema kwasasa wataangalia kwa ukaribu walipa kodi ili kuhakikisha wanaendelea kufanya biashara zao, huku akiwataka wafanyabiashara kuendelea kulipa kodi
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad