UZA, inalipa! E-commerce company launches product to boost youth entrepreneurship

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Inalipa (https://www.inalipainc.com) today launched a new innovative product that promises to be a much needed tool to reduce youth unemployment.


inalipa is a prominent e-commerce company based in Tanzania that has gained accolades across Africa for its mission to build a new route to market for consumer FMCG goods in Africa. inalipa is one of the few Tanzanian companies to attract international investment from renowned venture capital firms backing the most promising technology businesses.


The core vision of inalipa is to see an Africa where large consumer goods brands can easily access and supply the market, get valuable data and insight and have better visibility of their customers.


inalipa believes that MSMEs, small retailers and Dukas are critical stakeholders in the development of the retail sector.


Today, inalipa launched uza, a novel sales app that allows anyone to register and be their own boss by selling consumer goods in wholesale. uza is an exciting product which provides instant rewards to its users, has a competitive leaderboard for sellers to earn prizes and more.


"We believe in the power of young people to drive Tanzania's development and lead us into the future. We have a million young people enter the job market every year. Smart, capable and entrepreneurial but not provided the right support to earn an income for themselves. uza is our answer to this and we believe that it can be transformational for the sector " says Hafiz Juma, CEO of inalipa.


inalipa adds uza to their existing product suite of inalipa JUMLA a wholesale e-commerce app and inalipa an e-commerce app for end consumers.


With the innovation of companies like inalipa, the future is bright for Tanzania's youth. 








Kampuni ya biashara mtandaoni ya inalipa yazindua programu ya UZA kukuza ujasiriamali kwa vijana


Kampuni ya biashara mtandaoni ya Inalipa (https://www.inalipainc.com) leo imezindua programu mpya ya kibunifu ya uza ambayo inatazamiwa kuwa chombo kinachohitajika sana kupunguza ukosefu wa ajira kwa vijana. 


Inalipa ni kampuni maarufu ya biashara mtandaoni iliyopo nchini Tanzania ambayo imefanikiwa kupata sifa toka pande zote Afrika kwa dhamira yake kujenga mfumo mpya na bora kufikia soko la bidhaa mbalimbali ndani ya Africa. Inalipa ni moja ya kampuni chache za kitanzania zilizoweza kuvutia uwekezaji wa kimataifa kutoka kampuni maarufu za uwekezaji wa ubia unaolenga kampuni zenye muelekeo chanya kiteknolojia. 


Dira ya msingi ya inalipa ni kuona Afrika ambayo kampuni kubwa za bidhaa za walaji zinapata urahisi wa kusambaza bidhaa katika soko, kupata taarifa muhimu ambazo zitawasaidia kuwa na ufahamu mzuri wa wateja wao. 


Inalipa inaamini wauzaji wa kati, wauzaji wadogo na maduka ni wadau muhimu katika maendeleo ya sekta ya rejareja. 


Leo inalipa imezindua uza, ambayo ni programu (app) ya mauzo ambayo inaruhusu mtu yeyote kujiunga na kuwa bosi binafsi kwa kuuza bidhaa kwa jumla. Uza ni bidhaa yenye mfumo wa kusisimua ambao unatoa zawadi za papo hapo kwa watumiaji wake, ina ubao utakaoonyesha msimamo wa wanaoongoza wenye ushindani kwa wauzaji kupata zawadi na zaidi. 


“Tunaamini katika nguvu ya vijana kuendesha maendeleo ya Tanzania na kutuongoza kwa siku za usoni. Tuna vijana milioni moja wanaohitimu na kuingia katika soko la ajira kila mwaka. Vijana hawa wana uwezo wa ujasiriamali ila hawana usaidizi unaofaa kujipatia kipato. Uza ni jibu letu katika hili na tunaamini italeta mapinduzi katika sekta” amesema Hafiz Juma, CEO wa inalipa. 


Inalipa inaongeza uza katika kundi la bidhaa zao ambazo ni pamoja na inalipa JUMLA ambayo ni programu (app) inayohusika na mauzo ya bidhaa za jumla na inalipa ambayo ni programu (app) ya biashara ya mtandaoni ya bidhaa za rejareja kwa walaji. 


Kwa ubunifu wa makampuni kama inalipa, kuna uelekeo mzuri wa mustakabali wa siku za usoni kwa vijana wa Tanzania. 




















Meneja wa Bidhaaa Bertha Shao na Mwenyeji Millard Ayo wakizungumza na wanahabari/Product Manager Bertha Shao and Host Millard Ayo speaking to the press


A picture containing text, person, person, indoor

Description automatically generated

Mkurugenzi Mkuu Hafiz Juma akiongea na wageni/CEO Hafiz Juma speaking to guests


Meneja wa Bidhaa Bertha Shao akielezea jinsi aplikesheni ya uza inafanya kazi/Product Manager Bertha Shao presenting how uza works


Mweneyeji Frederick Bundala akiongea na wanahabari/Host Frederick Bundala speaking with the press



-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad