Warioba Aibuka Sakata la Bashiru "Tujibuni Hoja Kukosoa sio Jambo Baya"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPAKauli ya Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba, inafuatia majibu ya Watu mbalimbali Mtandaoni wanaodai Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM na Balozi, Dkt. Bashiru hana sifa za kuikosoa Serikali wakati hakufanya hivyo alipokuwa na Madaraka kwenye Utawala wa Hayati Rais Magufuli

Warioba amesema Watu wamelikuza sana suala hilo wakati Dkt. Bashiru ana hoja ya msingi hasa kwa kuwataka Wakulima waungane na kuwa na sauti moja kuhusu mustakabali wao

Dkt. Bashiru akizungumza na Wakulima hivi karibuni alitoa kauli zinazodaiwa kukosoa Serikali, jambo lililofanya akemewe vikali huku wengine wakimtaka ajiuzulu Ubunge.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad