Waziri wa Uchukuzi Akata Mzizi wa Fitina..Mlango wa Precision Air Alifunguliwa na Mhudumu na Abiria

 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPABREAKING: Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa leo ametoa ripoti ya awali ya uchunguzi wa ajali ya ndege ya Precision iliyoua Watu 19 Bukoba ambapo amesema mlango wa ndege ulifunguliwa na Muhudumu wa ndege kwa msaada wa abiria.

“Kuhusu namna mlango wa ndege iliyopata ajali ulivyofunguliwa, ni kweli mlango wa ndege iliyopata ajali ulifunguliwa na Muhudumu wa ndege kwa msaada wa abiria, hata hivyo kama ripoti ya uchunguzi inavyosema Wananchi waliokuwa wanafanya shughuli za uvuvi jirani na eneo la ajali walifika eneo la ajali dakika 5 baada ya ndege kuanguka”

“Wananchi hao waliendelea na juhudi za kufungua mlango kwa nje, hali hiyo ilisaidia kumpa ujasiri Muhudumu wa ndege na abiria wa ndege kufungua mlango huo baada ya kuona nje ya ndege kuna msaada ambao unaweza kuwasaidia”

Unapenda Simulizi za Kusisimua?

Kuna Simulizi ya NDOA YANGU na kuna INATOSHA, Zitakukosha sanaa.
Bofya HAPA kufurahia sehemu ya 1 bure ndani ya group la telegram.


 

 JINSI YA KUANDIKA CV BORA BONYEZA HAPA 

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad