Afya ya Gwiji wa Soka Duniani Pele Yawa Mbaya..Hakuna Matumaini Kwa Sasa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Afya ya Gwiji wa soka duniani Pele, inatajwa kuwa katika hali mbaya na hakuna matibabu yoyote ya mionzi ambayo yanaweza kumfanya awe sawa, huku taarifa zikiripoti kuwa amewekwa kwenye uangalizi maalum wa kupunguza maumivu na asipate changamoto ya pumzi kwa wakati huu ila hakuna tiba ambayo inaweza kutatua changamoto yake.

Prayers for the King of football❤️
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad