𝐃𝐎𝐍𝐄 𝐃𝐄𝐀𝐋: Aliyekuwa kocha mkuu wa klabu ya Yanga SC Alamba Deal Polisi Tanzania

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa

📝 𝐃𝐎𝐍𝐄 𝐃𝐄𝐀𝐋: Aliyekuwa kocha mkuu wa klabu ya Yanga SC Mwinyi Zahera ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Polisi Tanzania inayoshiriki Ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwa mkataba wa miezi 6 mpaka mwisho wa msimu.

Hivi sasa Mwinyi Zahera anatambulishwa kwa wachezaji.
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad