google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Kocha Nabi Afungiwa Mechi Tatu na Faini Laki Tano | UDAKU SPECIAL

Kocha Nabi Afungiwa Mechi Tatu na Faini Laki Tano

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kocha Mkuu wa Yanga Nasredine Nabi amefungiwa michezo mitatu kukaa katika benchi pamoja na faini ya Tsh 500,000.

Nabi amekumbana na adhabu hiyo baada ya kuwatolea maneno makali mwamuzi wa kati na mwamuzi wa akiba wakati wa mchezo wa Ihefu na Yanga ambapo Yanga alipoteza 2-1.

Licha ya Kocha Nabi kuonywa na Waamuzi kwa kuoneshwa kadi ya njano lakini aliendelea na kitendo hicho.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad