Kombe la Dunia: Luis Suarez Abubujikwa na Machozi Hadharani Mizimu ya 2010 Ikimwandama

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Uruguay Luis Suarez ameondoka uwanjani akilia baada ya mechi yao ya mwisho ya makundi dhidi ya Ghana katika Kombe la Dunia nchini Qatar.

Kombe la Dunia: Luis Suarez Abubujikwa na Machozi Hadharani Mizimu ya 2010 Ikimwandama
Luis Suarez akibubujikwa na machozi baada ya mechi yao na Ghana. 

Machozi ya Suarez yawafurahisha mashabiki wa Ghana
Hali ya Suarez kuangua kilio uwanjani imeonekana kuwafurahisha mashabiki wa Ghana ambao nyoyo zao zilikuwa zimevunjwa kufuatia kichapo cha 2-0 na Uruguay.

Kwa matokeo hayo, ilikuwa rasmi kuwa Black Stars ya Ghana inaondoka katika Kombe la Dunia kwa hatua ya makundi tena bila kulipiza kisasi dhidi ya Suarez na Uruguay.


Kilichowafurahisha sana mashabiki hao ni kuwa Korea Kusini ilisajili ushindi ajabu wa 2-1 dhidi ya Ureno na kumaliza nambari mbili kundi H nyuma ya Ureno hivyo Uruguay kushindw kufuzu 16 bora licha ya kuigunga Ghana
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad