Mchazaji Gadiel Michael Akumbana na Adhabu Kisa Imani za Kishirikina

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Nyota wa Simba, Gadiel Michael amefungiwa mechi tatu na faini ya 500,000/= kwa kosa la kuingia uwanjani masaa sita kabla ya mchezo wa dhidi ya Mbeya City kisha akaenda kumwagia vitu venye asili ya unga unga katikati mwa uwanja.

Kwa mujibu wa taarifa ya Bodi ya Ligi, nyota huyo aliambatana na watu kadhaa waliyovalia nguo zenye nembo ya Simba ambapo licha ya Walinzi kuwazuia walilazimisha mpaka adhma yao kutimia.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad