Mjue Mzungu Aliyejibadili Rangi ya Ngozu yake na Kuwa Mweusi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Tumezoea kuona baadhi ya watu wenye rangi nyeusi kujibadili rangi ya ngozi kwa kujichubua ili wawe weupe, hiyo ni tofauti kwa Martina Big, raia wa Ujerumani ambaye alichukua uamuzi wa kubadili rangi ya ngozi yake kutoka kuwa mweupe hadi kuwa mweusi.

Inaelezwa kuwa kutokana na kuvutiwa na ngozi nyeusi, mwaka 2017 Martina alianza kuchoma sindano za kubadili rangi ya ngozi yake hadi kufikia rangi nyeusi , huku akichoma sindano nyingine za kuongeza matiti yake ili yawe makubwa kwa kuamini kuwa atakuwa na muonekano wa kiafrika Mara kadhaa alibadili nywele zake na kuzifanya ziwe ngumu.

Baada ya kukamilisha jambo lake na kupata ngozi nyeusi Martina alihamia nchini Kenya yeye na mumewe sasa anatambulika kama raia wa Kenya baada ya kupewa uraia wa nchi hiyo, amepatiwa jina la kiafria ambalo wanamuita Malkia Kubwa. Martina ameshachoma sindano zaidi ya 20 ili kubadili muonekano wake, alizaliwa mwaka 1988 anajishughulisha na uigizaji.

Kwa mujibu wa Daktari wa Martina ni kuwa, kutokana na sindano alizochoma anaweza akapata watoto wenye ngozi ya rangi nyeusi, tupe mtazamo wako katika hili?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad