Mzee Yussuf "Wake wa Manara Wanaigiza tu Mitandaoni, Tuwape Muda Mchache"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kutokana na uzoefu wa kuwa na wake wawili Msanii wa muziki wa taarabu Tanzania @mzeeyussuf imepelekea kuamini kuwa wake wa msemaji wa Yanga @hajismanara hawana upendo wakweli isipokuwa wanaigiza tu kwenye mitandao ya kijamii.

Pia Mzee Yusuph hakuishia hapo alisisitiza kuwa tuwape muda mchache tu wake hao wataonesha uhalisia wao.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad