Wema Sepetu Atamani Kukimbia na Mtoto wa Watu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Staa wa maigizo nchini na Miss Tanzania 2006, #wemasepetu amezidi kuonyesha shauku ya kupata mtoto baada ya kutuweka wazi kuwa alitamani akimbie na mtoto wa watu aliye mbeba mikononi mwake.


Masaa machache nyuma, Kupitia post aliyoipakia Instagram akiwa ameshika mtoto mchanga, Wema ameandika....


“Nilitamani nikimbie naye wallahy. Oh God please bless me with my own some day”


Lakini miongoni mwa waliocomment kwenye post hiyo ni pamoja na mpenzi wa Wema Sepetu ambaye ni Whozu aliye Andika “Mama K...” ikiwa na maana Mama Kijacho kama sehemu ya kuamini kutimia kwa sara ya Wema siku moja.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad