Zuchu Amshauri Rosa Ree Wakamloge Aliyekuwa Boy Friend Wake Baada ya Kuachana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baada Ya Msanii Rosa Ree Kusema Kuwa Kwasasa Yupo Singo Na Kueleza Baadhi Ya Changamoto Alizopitia Katika Mahusiano Yake Yaliyopita, Msanii @officialzuchu Ametia Neno Katika Story Hiyo Ambayo #ROSAREE Alipost Katika IG Yake.

#ZUCHU Alipita Katika Uwanja Wa Komenti Na Kamshauri Msanii Huyo......"Hapana Tusimwache Hivi Hivi Tumfanye Akiwa Anatembea Arudi Reverse Nipigie Namba Yangu Unayo"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad