Web

Helikopta zagongana angani watu wanne wafariki



Watu wanne wamefariki dunia na wengine 9 kuieruhiwa baada ya helikopta mbili kugongana angani karibu a Seaworld kwenye pwani ya Australia ya
Gold Coast.

Ofisi ya Usalama wa Usafiri wa angani ya Australia (ATSB) imethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kueleza kuwa uchunguzi wa kubaini chanzo chake umeanza
Idara ya polisi ya chi hiyo imeeleza kuwa helikopta moja ilikuwa ikipaa na nyingine ilikuwa inaiiandaa kutua.




Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad