Web

Kocha Mpya wa Ronaldo Asema Alitaka Kumsajili Messi Kwanza sio Ronaldo



Kocha wa Al-Nassr, Rudi Garcia ametoa kauli hiyo mbele ya Waandishi wa Habari alipoulizwa juu ya ujio wa #CristianoRonaldo kikosini kwake
-
Amesema “Nilitaka kumsajili #Messi kwanza. Nafikiri kila kocha atafurahia kufanya kazi na Cristiano, wachezaji wakubwa huwa ni rahisi kufanya nao kazi.”
-
Kauli hiyo inaweza kumkwaza Ronaldo kuonekana kumshusha thamani mbele ya Messi ambaye ni mpinzani wake mkubwa. Hivi karibuni Mreno huyo alikwaruzana na waliokuwa makocha wake, wa #ManUnited na Ureno
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad