AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mwanaume mmoja ambaye jina lake halijafahamika amekutwa amepanda kwenye nguzo ya umeme wa msongo wa Kilovoti 132 njia Mwanza-Musoma Nguzo namba 500 iliyopo Mwibagi Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara.
Mkuu wa kituo cha Polisi cha Kiabakari amefanikiwa kufika eneo la tukio ambapo amesema
"Timu yetu imefika na kumshawishi mhusika kushuka bila mafanikio. Jitihada za kumshusha bila kudhurika zinaendelea, na tunaweza kulazimika kuzima laini hiyo ambayo itapelekea Mkoa wote wa Mara kukosa umeme"
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK