Mafuvu manne ya binadamu yamekutwa yakiwa ndani ya boksi katika uwanja wa ndege wa Queretaro, Mexico.
Kwa mujibu wa Maofisa wa Usalama, mafuvu hayo yalikuwa yamefunikwa kwa karatasi za alumini pamoja na Plastiki. Kifaa cha Xray ndicho kilichowezesha kugundulika kwa mafuvu hayo.