Mshambuliaji Cesar Manzoki anatarajiwa kuwasili nchini Tanzania wiki hii kukutana na viongozi wa Simba kujadili uwezekano wa kuhamia katika klabu hiyo.
Kwa sasa anaitumikia Dalian Pro ya China iliyompa ofa kubwa mchezaji huyo hivyo anatafuta masharti mapya ya kusaini Simba.