Web

Picha: Nyota Mpya wa Klabu ya Al-Nassr, Cristiano Ronaldo Amewasili nchini Saudi Arabia


Picha: Nyota mpya wa klabu ya Al-Nassr, Cristiano Ronaldo tayari amewasili nchini Saudi Arabia akiwa pamoja na familia yake akiambatana na watu wa mambo ya kiufundi na waandishi wa habari wakitua kutoka jijini Madrid.

Kinachosubiriwa kwa sasa ni nyota huyo kutambulishwa rasmi na klabu ya Al-Nassr mbele ya umati wa mashabiki katika uwanja wa Mrsool Park, unaomilikiwa na klabu hiyo uliyopo ndani ya jiji la Riyadh, Saudi Arabia ambao unaingiza mashabiki 25,000.


Ronaldo (37), atakuwa mchezaji wa kwanza mwenye jina kubwa duniani kukipiga katika klabu hiyo kwenye historia ya maisha yake ya soka.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad