Ticker

6/recent/ticker-posts

Harmonize Amtupia Dongo Kajala Kiaina "Account Yangu Ilisoma Zero Sababu ya Kumpenda Mtoto wa Mtu Lakini Niliachwa"

Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA

Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA

Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPA


Ameandika Harmonize 👇
.
"Nakumbuka siku moja account yangu ya Bank ilisoma zero "0000" kwa sababu ya kumfanya mtoto wa mtu awe na furaha lakini haikusaidia niliachwa😭, kwa sasa nayachukia sana mapenzi na nimeamua kuwa single japo kuna watoto wa kike wengi wananipenda na wanataka kuanzisha mahusiano na mimi"- ameandika Harmonize kwenye Instagram stori yake..


Post a Comment

0 Comments