Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA
Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA
Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPA
Kuandika Instagram pekee kuwa yupo single haijatosha kwa msanii @harmonize_tz ameendeleza Tena utaratibu wake wa kuwa kwenye mabango!
Boss huyo wa Konde Gang mara hii ajiweka picha yake mwenyewe inayoonesha akiwa maeneo ya beach ikiwa na ujumbe usemao "Single Again"
@harmonize_tz amejiweka kwenye bango hilo maeneo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam ilipowahi kuwekwa bango lake akiwa na Kajala lililokuwa limeandikwa "Lovers" na kwa wakati huo alikuwa akiomba msamaha kurejesha penzi lake kwa bibie huyo.
Una mtazamo gani kwa hili la Konde!
0 Comments