Ticker

6/recent/ticker-posts

Mange Kimambi Afunguka Baada ya Sheikh Alhadi Kutumbuliwa Bakwata "Nimekumbuka Dua Aliyoniombea Nife"

Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA

Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA

Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPA


Nyie besti yangu Alhadi katenguliwa na BAKWATA… Uwiii, sasa nikikumbuka ile dua aliyoniombea mimi akasema simalizi mwaka, sasa mwenzie bado nadunda yeye wamemrestisha in pisi huku bado anahema..😭😭.
.
Ila hapa mwishoni Alhadi nilianza kumwelewa kidogo atleast alisimama na mwanamke anaenyanyasika na mumewe na kusaidia kumpa haki. Leo Dr. Mwaka atafanya party haki
.
.
Huyu Alhadi kilichomponza ni ile kutaka kumwonyeshea Dr. Mwaka kuwa wamemkomesha. Ile talaka ingetoka kimya kimya bila yeye kufanya press wala kusingekuwa na haya sababu ile talaka ya Queen imesainiwa na kadhi mwenyewe, yani talaka iko imetoka kwa kadhi mwenyewe so yeye Alhadi hakuwa na haja ya kutangaza chochote. Tatizo Alhadi anapenda ushindani wa kitoto ndo maana hata mimi alinifanyia press ya kunitangazia kifo, ila sasa ilibidi aangalie na mtu anaeshindana nae if they have something to lose or not. Dr. Mwaka sasa hivi has absolutely zero to lose, biashara ishakufa, hana pesa hana nini, mke aliekuwa anampenda kamkimbia na shepu lake na uzuri wake, yani hana cha kupoteza kwa sasa, yeye Alhad had everything to lose. Angemkomoa kichinichini tu ila sasa alitaka Dr. Mwaka ajue kuwa yeye ndo sterling wa show.
.
.
Jamani tujifunze kitu hapa if you have something to lose usigombane na mtu ambae has nothing to lose. Mimi that’s how I choose my battles na watu siku hizi, nikishaona mtu hana anything to loose huwa nafanyaga kama simuoni hata anitukane vipi nampotezea maana wengine unakuta mtu followers elfu 10 ananichamba makusudi anajua nikijibu tu anafikisha followers laki siku hiyo hiyo. Yani mimi sasa hivi najibishana na mtu kutokana na followers, kama huna followers milioni sina time na wewe.

Post a Comment

0 Comments