Mwaka Amshauri Qeen Mke wa Dr Mwaka "Umeenda Kulia Kwenye Vyombo vya Habari ili Iweje? "

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Kwa sababu Shauri la Dr.Mwaka kwa mujibu wa maelezo ya mkewe ni kwamba

1. Amesharipoti polisi kwa hiyo lipo kwenye vyombo vya usalama.

2. Ameshalifikisha Bakwata kwa hiyo lipo chini ya chombo kikuu cha dini yao.

3. Ameshalifikisha Ustawi wa Jamii (mkoa) kwa hiyo tayari lipo kwenye mikono ya Ustawi wa Jamii.

4. Limeshafika mahakamani kwa hiyo lipo chini ya vyombo vya sheria.

Sasa kama ameshalifikisha sehemu zote hizo bado anaenda kulia kwenye vyombo vya habari ili iweje?

kama siyo kutafuta taharuki ya sisi tulioko kqenye ndoa zetu au sympathy na kujaribu kuvipotosha vyombo vya sheria ili vifanye kazi kwa huruma ya kutengeneza badala ya kufuata misingi ya haki na shwria .?

Ikumbukwe mwanamke huyu huyu wiki moja tu aliyopita aliandamana na wanawake wenzake kwenda kwenye ofisi za Kadhi mkoa wa dar es salaam. Kutaka haki yake ya talaka .

Na kama anataka amani ya moyo na maisha yale yeye si amuache Dr Mwaka ? Kama issue ni Talaka dini inamruhusu mwanamke ajitoe (Alkhului) kwa nini hajitoi?

Nimemshauri ikiwezekana akae kimya kupisha haki itendeke kwa sasa . Nimekushauri tu shemeji yangu . Ni mimi kaka yako DC
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad