Aliyekuwa Mume Wangu Anang'ang'ania Mtoto Asiye Wake...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Katika maisha hakuna kitu kizuri kama uvumilivu, kuna watu ambao wamepishana na fursa kubwa katika maisha yao kisa tu walikosa uvumilivu kwa kipidi fulani, kuna watu wamepoteza watu wa muhimu katika maisha yao yote sababu ya kukosa uvumilivu. 

Nasema hivyo kwa sababu jambo kama hilo liliwahi kunitokea katika maisha yangu, mume wangu alinipoteza kisa tu kukosa uvumilivu katika ndoa yetu, na sasa anajutia na kunisumbua turudiane wakati mimi tayari nina mtu mwingine. 

Jina langu ni Mama Lulu, miaka kama saba iliyopita niliolewa na mwanaume ambaye nilimpenda na yeye alionyesha kunipenda sana ingwa kadiri miaka ilivyokuwa inasonga katika mapenzi ya ndoa yetu, ndivyo na upendo ulivyokuwa unaenda ukipungua. 

Sababu kubwa ilikuwa ni mimi kuchelewa kubeba ujauzito, tulikukaa kwa zaidi ya miaka mitatu bila kubeba ujauzito, jambo hilo lilifanya mume wangu kuanza kupunguza mapenzi taratibu aliyokuwa akinipa tangu mwanzo. 

Hali hiyo iliendelea hadi alipofikia hatua ya kuniambia bora tuachane kwa sababu nimeshindwa kumpatia mtoto, ni kauli ambayo iliniumiza sana, iliacha jeraha kubwa la kihisia katika nafsi yangu, kamwe siwezi kuja kusahau. 

Nilijaribu kumsihi mume wangu awe na uvumilivu kidogo na pengine tuende Hospitalini tukaangalie tatizo ni nini hasa, hata hivyo, nasikitika kusema hakuwa tayari hata kidogo, aliendelea kushikilia msimamo wake kuwa mimi niondoke katika nyumba yake. 

Basi, niliamua kuchukua uamuzi wa kuondoka kwa sababu sikuona sababu ya kuendelea kuishi na mtu ambaye hanitaki, nilirudi nyumbani kwetu na kuendelea na maisha yangu mengine. 

Nilikuja kukutana na mpenzi wangu wa zamani, alinieleza kuwa bado ananipenda na angependa kuona uhusiano wetu ukiendelea na kuwa bado ana nia ya kunioa. 

Sikutaka kuwa muongo kwake, nilimueleza wazi wazi kuwa niliwahi kuolewa ila ndoa yangu haijafanikiwa kutokana sikubeba ujauzito, aliniambia nisiwe na wasiwasi kwani Dr. Kiwanga anaweza kutibu hilo.

Tulianza kuishi pamoja na kunifuatilia dawa kwa Dr. Kiwanga ambaye alinipatia maelekezo jinsi gani ya kuzitumia, baada ya miezi mitatu, nilikuja kubaini nina ujauzito wa mwezi mmoja, nilifurahi sana, furaha yake siwezi kuisimulia na kueleweka. 

Baada ya kujifungua, mume wangu wa zamani alipata habari hizo, ndipo alianza kunipigia simu na kunisumbua turudiane, anataka nirudi nikaishi kwake na mtoto ambaye sio wake. Je, nifanyaje?. 

Kumbuka kuwa Dr. Kiwanga ana uwezo wa kuwezesha kuwa mtu wa bahati maishani, ana uwezo wa kukukinga na adui zako wanaokutakia mabaya kwa wakati wowote ule kwa muda wa siku tatu utaona matokeo yake utayaona. 

Kwa mengi zaidi wasiliana nao kupitia barua pepe kiwangadoctors@gmail.com au kwenye wavuti www.kiwangadoctors.com au waweza kuwasiliana nao kupitia namba ya simu +254 769404965.

 


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad