Ticker

6/recent/ticker-posts

Bodaboda Wapatiwa Elimu| Meridianbet Yamwaga Reflector

Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA

Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA

Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPA

 

Ajali za barabani zinachangikia kwa kiasi kikubwa kupunguza nguvu kazi ya taifa, na kuacha majozi kwa familia kuwapoteza wapendwa wao. Wiki ya nenda kwa usalama barabarani imepewa nguvu na Meridiabet ambapo Msaidizi wa kitengo cha usalama barabarani Kawe Inspekta Alex Duguza alitoa elimu ya kujikinga na ajali za barabani kwa bodaboda wa eneo hilo, ambapo elimu hiyo iliambatana na ugawaji wa Reflector kutoka Meridianbet kwa madereva hao.“Meridianbet hiki mlichokifanya ni kitu kikubwa sana kwani itawasaidia madereva bodaboda kujikinga na ajali za barabarani, huu ni mfano wa kuigwa hata kwa makampuni mengine” Inspekta Duguza.Meridianbet wababe wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni waliwatembelea Bodaboda wa maeneo ya Kawe na kuwapa Reflector kujinga na ajali.


Nae Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano Meridianbet Matina Nkurlu alisema kuwa lengo la kutoa Reflector hizo ni kuzuia ajali za barabani ikiwa ni wiki ya nenda kwa usalama barabarani.Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.“Tumewatembelea wenzetu wa Bodaboda ni wadau wetu hawa na sisi tumeamua kuja kuwaunga mkono kwenye kazi yao hii, tumetoa Reflector maalum kabisa ili kupunguza ajali zinakatisha ndoto zao, hivyo mchango huu kwao utaenda kuchochea kasi ya ufanyaji kazi”
Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackport kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10# 

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE


Post a Comment

0 Comments