Ticker

6/recent/ticker-posts

Burna Boy Kufanya Show Kwenye Fainali za Ligi ya Mabingwa UEFA

Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA

Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA

Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPANyota wa Muziki kutoka Nigeria na Mshindi huyo wa Tuzo ya #GRAMMY ametajwa na UEFA kuwa atafungua Fainali za michuano hiyo zitakazofanyika Juni 10, 2023 huko Istanbul, Nchini Uturuki

Ligi ya Mabingwa kwa sasa ipo katika hatua ya Robo Fainali, huku timu 8 za AC Milan, Inter Milan, Napoli, #ManchesterCity, #Chelsea, Bayern Munich, Benfica, na Mabingwa Watetezi #RealMadrid zikipangwa kuwania nafasi ya kuitwa Bingwa wa Ulaya

Ni Msanii gani kutoka Tanzania unatamani afikie 'level' alizopo Burna Boy?

Post a Comment

0 Comments