Ticker

6/recent/ticker-posts

CEO wa TikTok: Nimewazuia watoto wangu kutumia!

Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA

Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA

Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPA



Mkurugenzi Mtendaji wa TikTok, Shou Zi Chew amedai kuwa watoto wake haja waruhusu kutumia ‘App’ hiyo kwa kuwa ni wadogo.


Alipoulizwa kuhusu umri wa watoto wake, Chew amesema snap wawili mmoja miaka sita na mwingine miaka nane.


Shou Zi Chew amewashauri wazazi na watu wazima kutumia kwa uangalifu TikTok na kufuatilia kipengele kinachoitwa ‘Familia Pairing.’


Uchunguzi wa kitaifa dhidi ya programu hii ulitangazwa mwaka 2022 kutokana na hatari inayowakabili Watoto na Vijana.


Mtoto wako umemruhusu kutumia.?

Post a Comment

0 Comments