Ticker

6/recent/ticker-posts

Chama Mchezaji Bora Kombe la Klabu Bingwa Afrika

Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA

Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA

Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPAKIUNGO wa Simba SC, Clatous Chama amechaguliwa na Shirikisho la Soka Afrika CAF, kuwa mchezaji bora wa wiki wa Klabu Bingwa Afrika, baada ya kufanya vizuri katika mchezo wa nne wa makundi dhidi ya Vipers SC.

Chama amewashinda Ahmed Zizo wa Zamalek, Peter Shalulile wa Mamelodi Sundowns na Walid Sabbar wa Raja.

Post a Comment

0 Comments