Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA
Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA
Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPA
Madhara mengine ya kurasimisha usafiri wa bodaboda tofauti na ajali,maradhi na umasikini ni kuwa kundi la vijana litapuuza kazi nyingine mbali mbali (vocational skills) kama mechanics,ujenzi,seremala nk.Kuna uwezakano baadhi ya kazi muhimu zitakuja kukosa watu ktk siku za usoni.
0 Comments