Ticker

6/recent/ticker-posts

Harmonize "Nilitaka Kuoa Lakini Mama Mkwe Akaambiwa Mimi Muhuni na Kichaa

Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA

Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA

Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPAHarmonize "Nilitaka Kuoa Lakini Mama Mkwe Akaambiwa Mimi Muhuni na Kichaa

"Mtu ambaye unataka kumuozesha mtoto wako ni Muhuni sana alafu anakuwaga Chizi ikifikaga mwisho wa mwezi", haya ni maneno ambayo alipewa mama mzazi wa mwanamke ambaye @harmonize_tz alikusudia kumuoa kipindi akiwa Kijijini kwao Chitoholi Mkoani Mtwara

.

Kupitia Podcast maalum inayoruka kupitia Mtandao wa #Boomplay Harmonize ameeleza mambo mengi yanayohusu maisha yake. Kati ya mambo ambayo ameeleza ni pamoja na hii stori ya kumkosa mwanamke wa ndoto zake kwasababu ya maneno ambayo mtu mmoja aliyapeleka kwa mama mzazi wa mwanamke aliyemtolea posa

Post a Comment

0 Comments