Ticker

6/recent/ticker-posts

Ingia Meridianbet Ubashiri Mechi za Ligi ya Mabingwa Zenye ODDS KUBWA

Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA

Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA

Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPA


 Ligi ya mabingwa imerejea na inataka kukupa pesa leo nakesho endapo utabeti mechi za Manchester City dhidi ya RB Leipzig, na FC Porto dhidi ya Inter Milan ya Simone Inzaghi hii leo na kesho ni Liverpool dhidi ya Madrid, Napoli dhidi ya Eintracht Frankfurt.


Manchester City hawajawahi chukua kombe hili na mara ya mwisho ambayo walifika fainali walipoteza sasa yupo hatua ambayo anahitaji ushindi ili aende robo fainali. Mechi tatu za mwisho kukutana kila timu imeshinda mechi moja moja huku moja wakitoa sare City ambapo alikuwa ugenini.

Guardiola anatamani kupata ushindi mechi hii asonge mebel kwenye hatua ya robo fainali kwani ana hamu sana na hili Kombe maana toka atue City hajalaipata licha ya kuwa na kikosi bora sana misimu hiyo yote. Bashiri mubashara kupitia duka la ubashiri la Meridianbet.

 

Huku ukiwa unawaza utaweka machagupo gani mechi hiyo, Inter atakuwa mgeni wa FC Porto huku akiwa na faida ya bao moja ambalo alilipata mechi ya kwanza walipokutana kule Giuseppe Meazza.

Nani unamuona hapa ataweza kukupatia kitita cha pesa huku hapa kinachohitajika ni magoli tu ili timu iweze kwenda hatua nyingine kweye michuano hii ambayo ni ndoto ya kila timu kubwa kuchukua?

ODDS KUBWA zinapatikana ndani ya Meridianbet pekee ambapo si hlo tu bali hata machaguo ambayo unaweza kuyapata ni zaidi ya 1000. Unasubiri nini ingia na ucheze sasa.

 

 

Kesho  nayo ni siku kuna watu hupenda kushinda pesa kubwa hivyo basi unaweza ukabeti mechi zako za leo na kesho, ambapo ushindi pekee unaweza usimfanye Liverpool avuke robo fainali, bali wenye magoli mengi, lakini je ataweza mbele ya Mabingwa watetezi? 


Kama wewe unataka kubeti utampa nani bashiri yako ili akupatie mkwanja unaouhitaji? Nenda Meridianbet ODDS KUBWA kwa timu hizi zipo kilichobaki ni wewe tuu kusuka jamvi lako na kubeti.

 

Meridianbet hawakuachi hivi hivi wana kasino ya mtandaoni yenye michezo pendwa ya sloti kama Aviator, Poker na Roulette wameongeza machaguo Zaidi 1000+ kwenye mechi hizi za Ligi ya Mabingwa. Bonyeza hapa kuona machaguo Zaidi na mchanganuo wa odds kubwa bashiri mubashara.

 

Napoli atamenyana dhidi ya Eintracht Frankfurt ambaye ndiye bingwa mtetezi wa Ligi ya Europa, na kupitia Europa ameweza kushiriki michuano hii ya Klabu Bingwa Ulaya huku mechi ya kwanza akipoteza mbele ya vinara hao wa Serie A nyumbani kwake. Je leo hii atafanya nini?

 

Nafasi kubwa ya ushindi amepewa Napoli akiwa na ODDS ya 1.50, sare ikiwa na 4.31, Ushindi kwa Frankfurt ukiwa na ODDS ya 6.07. Kwa ukubwa huo wa ODDS nani kuondoka na ubabe leo?


Post a Comment

0 Comments