Man City Yapanga Kumpa Haaland Mshahara wa Tsh Bilioni 1.4 Kwa Wiki

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Baada ya #RealMadrid kuonesha nia ya kutaka kumsajili mshambuliaji huyo, #ManchesterCity inataka kuboresha mshahara wake ili kumshawishi abaki

Erling Haaland (22) ambaye amefunga magoli 42 katika michuano yote msimu huu wa 2022/23 ana mkataba klabuni kwake hadi 2027

Kwa sasa analipwa Paundi 375,000 (Tsh. Bilioni 1) kwa wiki akiwa sawa na Kevin De Bruyne wa Man City na kipa wa #ManchesterUnited, David de Gea. Akiboreshewa mshahara na kuwa Paundi 500,000 (Tsh. Bilioni 1.4) atakuwa mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa zaidi #PremierLeague
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad