Ticker

6/recent/ticker-posts

Mwanamuziki Angella Achora Tattoo ya Harmonize Katika Mwili Wake

Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA

Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA

Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPAMwanadada mwanamuziki @anjella_tz ameamua kuonyesha mapenzi ya dhati aliyonayo kwa ‘boss’ wake wa zamani @harmonize_tz kwa kumchora ‘tattoo’ katika mwili wake.

Anjella amefikia uamuzi huo kama alama ya shukrani kwa kile ambacho Harmonize alikifanya katika maisha yake kwa kumtambulisha kwenye kiwanda cha muziki.

Kupitia Insta-story yake Anjella ameweka chapisho la video inayomuonyesha akiwa anachora ‘tattoo’ hiyo.

Una maoni gani kuhusu hili?

Post a Comment

0 Comments