Raila Odinga Tutamshtaki Ruto Mahakamani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Amesema “Tulisema siku ya leo ni likizo, tulikuwa tunataka kufanya maandamano ya amani ili bei ya unga irudi chini, lakini Ruto analeta Askari, anapiga watu, anashika watu, anavunja Katiba na Sheria. Tutamshtaki ICC (Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu)"

Viongozi wa Azimio La Umoja wamesema maandamano ya leo ni mwanzo, na kinachofanyika ni sehemu ya mazoezi. Maandamano kamili yanafuata ili kuishinikiza Serikali ya Rais #WilliamRuto kuwatimizia Wananchi mahitaji yao
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad