TV za Kenya Zaruhusiwa Kurusha Habari za Maandamano Live

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mahakama Kuu ya #Kenya imetoa uamuzi huo baada ya Mamlaka ya Mawasiliano (#CA) kutishia kuvifutia Leseni na kutoza faini kwa Vituo vya Runinga ikidai vimekiuka Kanuni kwa kurusha #Maandamano ya Azimio La Umoja

Amri ya Mahakama imezuia CA kuendelea kutoa vitisho kwa #CitizenTV, #NTV, #K24, #KBC, #TV47 na #EbruTV, ikielezwa Vyombo vya Habari vipo huru kuendelea na kazi zao kama kawaida ikiwemo maandamano yanayotarajiwa kufanyika Machi 27, 2023

Shauri hilo lilifikishwa Mahakamani kwa Hati ya Dharura na Taasisi ya Katiba, Chama cha Wanasheria wa #Kenya (LSK) na Umoja wa Waandishi wa Habari wakisisitiza Uhuru wa Vyombo vya Habari kuingiliwa
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad