Calisa Amemalizana Na Fahyma Baada Ya Fahyma Kufuata Maagizo Ya Calisa Kuwa Afute Vitu Alivyo Wai Kumtumia DM Kabla Hajaviweka Hadharani.!
Pia Rayvanny Amemfuata Calisa Normal Text Na Kumuomba Afute Post Alio Post Instagram Ikimuhusu Mama Mtoto Wake,Lakini Mpk Sasa Calisa Hajafuta Post hiyo Na Hajamjibu Rayvanny Messeji.!😂
Calisa Amemalizia Kwa Kusema Hajibu DM Ya Mwanamke Yoyote Yule Kwenye Instagram Yake Na Kama Unajijua Ushawai Kumtumia Meseji Zozote Zile Kazifute Kabla Hajaziweka Hadharani.!😂😂