Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, ameeleza kuwa marehemu Bernard Membe aliitumikia nchi yetu katika ngazi mbalimbali na alikuwa hazina muhimu kwa Taifa.
“Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje Mhe. Bernard Membe.
“Mhe. Membe aliitumikia nchi yetu katika ngazi mbalimbali na alikua hazina muhimu kwa Taifa.
“Raha ya milele umpe ee bwana, na mwanga wa milele umuangazia. Apumzike kwa amani.”
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA