google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Ahadi ni Deni, Diamond Platnumz, Amkabidhi Kipa Diarra Zawadi ya Shilingi Milioni 10 | UDAKU SPECIAL

Ahadi ni Deni, Diamond Platnumz, Amkabidhi Kipa Diarra Zawadi ya Shilingi Milioni 10

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Mkurugenzi wa #WasafiMedia, Naseeb Abdul (Diamond Platnumz) ametimiza ahadi yake kwa kumkabidhi Dola za Marekani 4,200 sawa na takriban Tsh. Milioni 10, mlinda mlango wa klabu ya #YangaFC, Djigui #Diarra

#DiamondPlatnumz alitoa ahadi hiyo wakati klabu ya Yanga ikichuana na USM Alger katika mchezo wa fainali ya kombe la Shirikisho #CAF, ambapo Golikipa huyo aliondoka na Tuzo ya Mchezaji bora wa Mechi
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad