Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Baada ya kudumu kwa miaka miwili kwenye ndoa na Yanga yenye mafanikio makubwa, rasmi sasa kocha Professor Nasreddine Nabi ameamua kutalakiana na mabingwa hao wa muda muda wote hapa Tanzania
Nabi anataka kuanzisha utawala wake sehemu nyengine kama alivyoipa mafanikio klabu ya Yanga
𝙔𝘼𝙉𝙂𝘼 𝙄𝙏𝘼𝙒𝙀𝙕𝘼𝙉𝘼 𝘽𝙄𝙇𝘼 𝙔𝘼 𝙉𝘼𝘽𝙄 ?
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA