Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Kuna uwezekano mlinda mlango wa kikosi cha Yanga SC Djigui Diarra akaondoka kikosini hapo.
Taarifa za ndani zinasema huenda Diarra na Mayele wakaelekea Kaizer Chiefs pamoja na aliyekuwa kocha wa kikosi hicho Naserdine Nabi.
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA