Mtandao wa 𝗙𝗼𝗼𝘁-𝗔𝗳𝗿𝗶𝗰𝗮.𝗰𝗼𝗺 umemtaja aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga SC ,Nasreddine Nabi kwenye orodha ya Makocha waoanowania Tuzo ya Kocha Bora wa Mwaka wa Afrika ,akichuana na Walid Regragui (Maroc), Aliou Cissé (Sénégal), Abdelhak Benchikha (USM Alger).
_________
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni BonyezaHAPA