Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Shirikisho la Soka Tanzania (#TFF) limeweka ratiba ya Ngao ya Jamii 2023 ambayo safari hii inafanyika katika Mfumo mpya huku Mechi zote zikichezwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani, #Tanga ikishirikisha Timu nne ambazo ni #Yanga, #Simba, #AzamFC na Singida Fountain Gate
Agosti 9, 2023 Yanga itavaana na Azam FC huku Agosti 10 ni Simba dhidi ya Singida. Timu zitakazofungwa zitakutana kupata Mshindi wa Tatu mnamo Agosti 13, 2023 wakati Mchezo wa Fainali nao utapigwa Siku hiyohiyo kwa kuzikutanisha timu zilizoshinda
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA