Header Ads Widget


Meneja wa Harmonize Awaumbua ZIIKI " Acheni Uongo"

Meneja wa Harmonize awaumbua ZIIKI "acheni uongo"


Baada ya kampuni ya kusambaza na kuuza muziki ya ZIIKI kupitia uongozi wake Afrika mashariki kusema kwamba madai ya Harmonize aliyoyatoa miezi kadhaa zilizopita kuwa kampuni hiyo haimlipi Pesa zako, na kusema kuwa Harmonize analipwa kila mwezi stahiki zake huku wakiongeza kusema kuwa Pesa za Ibraah Harmonize bado hajasaini ili ziingizwe kwenye akaunti yake,


Hatimaye Jembe ni Jembe ambaye ni Meneja wa Harmonize na Konde Gang amesema kuwa walichokisema Kampuni hiyo ni uongo

Post a Comment

0 Comments