Mwakinyo Kama Diamond Platnumz, Anaenda Kuiokoa Tasnia ya Ngumu, Msimamo Muhimu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPAAmeandika Haya Farhan Kihamu JR :

Baada ya kuripoti kutoka vyanzo vyote viwili, yani chanzo cha karibu na Hassan kisha kuripoti chanzo cha karibu na Promoter, nadhani kila Mwanafamilia achambue kwa utashi wake na kuona lipi ni sahihi.

Binafsi yangu nipo upande wa msimamo wa CHAMPEZ @hassanmwakinyojr na hivyo ndivyo inavyopaswa kuwa! Mwalimu Nyerere kabla hajafariki aliwahi kusema anataka taifa la Vijana jeuri, sio jeuri tu bali wenye kuhoji na kujiamini na kufahamu haki ipo wapi.

Mmechagua kutomuelewa Hassan ila yeye anaelewa thamani yake, anaishi misingi yake na anafahamu ukubwa wa jina lake na namna watu wanasubiri fight yake, hata Diamond wakati anazikataa show za kutoeleweka alionekana chizi ila leo hii game ipo wapi? Hassan anaiokoa Boxing kutoka kwenye mazoea hayo.

Mimi nipo upande wa CHAMPEZ ONE TIME, ndivyo inapaswa kuwa.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad