Ziiki Wamjibu Harmonize Madai ya Kutolipwa "Tunamlipa Fedha zake

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Ziiki Wamjibu Harmonize Madai ya Kutolipwa "Tunamlipa Fedha zake



Ziiki wamjibu Harmonize madai ya kutolipwa "tunamlipa fedha zake"
Kufuatia malalamiko ambayo yamekuwa yakitolewa na Msanii Harmonize juu ya kampuni ambayo anafanya nayo kazi katika usambazaji na uuzaji wa kazi zake za muziki akidai kuwa hapati pesa anazostahili zinazopatikana kupitia kazi zake katika mitandao, Camilla Owora ambaye ni Regional Manager wa Ziiki Media East Africa amezungumza kutolea ufafanuzi suala hilo!

Camilia Owora anadai kuwa sio kweli kwamba Harmonize halipwi pesa zake, anazo documents ambazo Harmonize ame-sign kuchukua malipo kila mwezi kama ilivyo kwenye utaratibu wa ufanaji kazi kati yao.

Kuhusu suala la Ibraah kutopata pesa zake, Camilia anadai ni Harmonize ndiye ambaye anakataa ku-sign documents hizo ili malipo ya Ibraah yaweze kufanyika!
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad