Chidi Benz Atoa Mpya, Adai Diamond Platnumz Hakumlipa Alipofanya Naye Wimbo

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Chidi Benz Atoa Mpya, Adai Diamond Platnumz Hakumlipa Alipofanya Naye Wimbo

Mwanamuziki wa Hip-hop nchini, Chidi Benz amefungukua na kudai kuwa hakupata kitu baada ya Diamond Platnumz kuingiza mstari kwenye wimbo wake mpya uitwao ‘Tunaishi nao’, uliotoka miezi miwili iliyopita.


Chidi ameeleza kuwa pamoja na kuahidiwa vitu vingi ikiwemo kufanya promo na msanii huyo baada ya kufanya wimbo huo lakini hadi wimbo umetoka hajapata hata mia na hajafanya video ya wimbo huo mpaka sasa.


Hata hivyo amedai kuwa kabla wimbo huo kutoka Diamond alienda kwa #S2Kizzy na kuingiza mstari bila ruhusa yake, lakini hakuona kama kuna shida baada ya kukutana na msanii huyo na kumueeleza lengo la kufanya wimbo huo kwa pamoja.


_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad