BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza tarehe ya mchezo wa Young Africans dhidi ya Simba, maarufu kama "Kariakoo Derby". Mchezo huo, ambao awali haukupangiwa tarehe, utachezwa Aprili 20, 2024, saa 11:00 jioni kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.
Mechi ya mzunguko wa kwanza Simba SC alipigwa bao 5-1 dhidi ya watani zao Yanga SC.
0 Comments