Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Basi la kampuni ya Shabiby lenye usajili wa namba 341EEU limepata pata ajali asubuhi hii ya tarehe 25 Mei 2024 katika eneo la Kihonda Manispaa ya Morogoro barabara ya Morogoro Dodoma ambapo watu kadhaa wanahofiwa kujeruhiwa.
Bado chanzo cha ajali hiyo hakijajulikana tupo eneo la tukio muda huu huku tukiendelea kuwasiliana na kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro kwa taarifa zaidi.
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA