Star wa muziki kutoka Tanzania, @naytrueboytz amefunguka kuhusiana na Album ya Harmonize Aliyoachia Jana tareh 25/05/2024
Kwa maelezo ya Nay amesema kuwa kuhusiana na Album aliyoachia Harmonize ya MZIKI NA SAMIA nyimbo zote kwa upande wake ni kelele kama za Msechu ...
" kwaiyo mmakonde kaamua kuifanya kazi ya msechu 🤣🤣 Sijapenda 🤣Ata marehemu komba hajawahi fikia level ya Album nzima 🤣 kelele kibao nyimbo za kumsifu mwenyekiti ndo maana baadhi ya wasanii wakaona mwana kapiga hela wao waende kama waalikwa tu 🤣 Hawajatokea🤣 .." ameandika Nay wamitego
0 Comments